simulizi
Ama Kwa Hakika Azania Secondary School ni moja ya shule kubwa sana kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania na kuweza kutoa viongozi mbalimbali,wakuu wa vitengo vya usalama , Walimu, Mainjia, Wahasibu na watu mashuhuri wengi. Nasi kama azaniaalumni2000 tunajivunia kuwa ni miongoni mwa kikazi kilicho bahatika kutoa watu hao wenye tija katika Jamii, leo tuna mzungumzia Mbone Mlango aliepita Azania mwaka 1997 na kumaliza mwaka 2000. Kwasasa Mbone Mlango anafahamika kama Dr Mbone Mlango akiwa ni Muhadhili Chuo Kikuu Cha Dar es salaaam Kitengo cha Mechaniacal, ama kwa hakika azaniaalumni tunajivunia kwa hilo.
Mbonea Mlango Kutoka azapound mpaka kuwa Muhadhili chuo kikuu cha Dar es salaam
Nkurumah Moja ya majengo maarufu chuo kikuu cha Dar es salaam
Ama Kwa Hakika Azania Secondary School ni moja ya shule kubwa sana kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania na kuweza kutoa viongozi mbalimbali,wakuu wa vitengo vya usalama , Walimu, Mainjia, Wahasibu na watu mashuhuri wengi. Nasi kama azaniaalumni2000 tunajivunia kuwa ni miongoni mwa kikazi kilicho bahatika kutoa watu hao wenye tija katika Jamii, leo tuna mzungumzia Mbone Mlango aliepita Azania mwaka 1997 na kumaliza mwaka 2000. Kwasasa Mbone Mlango anafahamika kama Dr Mbone Mlango akiwa ni Muhadhili Chuo Kikuu Cha Dar es salaaam Kitengo cha Mechaniacal, ama kwa hakika azaniaalumni tunajivunia kwa hilo.
Dr Mbone Mlango wa kwanza Kulia akiwa pamoja na wana azapound wengine darasani
College of Engineering And Technology-CoET
Mwisho kabisa azaniaalumni2000 inamtakia kila la kheri na mafanikio tele Dr Mbone Mlango katika Kazi yake yakuelimisha watu mbalimbali hapa nchini Tanzania,azaniaalumni2000 for life
0 comments: