jamii
NINI USICHOKIJUA KUTOKA KWA MWANA AZAPOUND SHOLA MANONI?
Shola Manoni si jina geni miongoni mwa jamii ya wana wa Azapound na hata wale waliokuwa sio Azapound hasa kipindi kile cha zama za azaboy,alifahamika na wengi wasichana kwa wavulana wa shule mbalimbali, jangwani na Zanaki, bila kusahau Mzizima na Kisutu, kutokana na zake style alizokuwa nazo wengi walimuita bishoo.
Je ni kipi Usichokijua kutoka kwake ambacho nataka kukuletea katika blog hii ya azaniaalumni2000 kama mmoja wa familia yetu? stay tune.....
0 comments: