jamii

HATIMAYE MKUTANO MKUU WA KUPITISHA KATIBA YA AZANIA ALUMNI2000 WAFANYIKA

9:15 PM tibazetuasili 0 Comments

Mkutano Mkuu uliokuwa ukisubiliwa kufanyika kwa lengo la kujadili na kupitisha Rasimu ya itakayotumika kuiongoza Azania Alumni 2000 umefanyika kama ilivyokusudiwa, Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Hotel ya Don Suit tarehe 13/ 09/ 15 huku ukiuzuliwa na wajumbe idadi ya kurodhisha.

Kikao kilihudhuliwa na Wajumbe wapatao 36 na kudumu kwa muda usiopungua masaa 12, hakika haikuwa kazi rahisi kabisa kila Mjumbe alijitahidi kutoa mchango wake kila alipoona kuna tija ya kufanya hivyo.










You Might Also Like

0 comments: