Katuni
Cheka na Azapound by Ntimi Omega
Mchango vs Kiingilio
Harusi ni tarehe 10//10/20XX. Wewe unachangia mwezi wa sita mwaka huo huo. Huo ni mchango,kwa sababu itasaidia kulipia ukumbi,mc,mapambo,n.k
Ukatoa mchango wako tarehe 5/10/20XX. Hiko ni kiingilio,kinakuwezesha kuhudhuria harusi ambayo ishaandaliwa na michango.
0 comments: