simulizi
Mjue Ayubu Misheli Mwana Azapound aliyebobea kwenye ujasiriamali wa Ufugaji samaki kisasa na Uvuvi Tanzania
Ayubu Misheli akiwa katika moja ya Research zake za ufugaji wa samaki
Jina Ayubu Misheli si jina geni katika tasnia ya ufugaji wa kisasa na uvuvi wa samaki hapa nchini Tanzania, alizaliwa mwaka 1982 na kujiunga na shule ya msingi Mtakuja waliyani Muheza, Tanga.Mnamo mwaka 1996 Ayubu Misheli alibahatika kuijiunga na shule ya secondary Azania na kuwa miongoni mwa vijana wanao unda kundi la kijasiriamali na kijamii, Azaniaalumni2000. Hakika azaniaalumni2000 inajivunia kuwa nae pamoja kwani ni miongoni mwa hazina zitegemewazo katika kuleta changamoto za kimaendeleo katika kundi hilo.
Baada ya kuhitimu masomo ya secondary alifanikiwa kujiunga na elimu ya A'level katika shule ya
na kupata stashada ya maswala ya biashara na ndipo apo akaonelea kwenda kuchukua elimu ya maswala ya Uvuvi na hadi sasa jina Ayubu Misheli ni miongoni mwa majina machache sana hapa tanzani yanayo toa mchango mkubwa sana katika Tasnia ya ufugaji samaki na uvuvi akiwa anamili kampuni yake binasfi ya utoaji ushauri juu ya ufugaji wa kisasa wa samaki AMISODAGO CONSULTANCY COMPANY.
Ayubu Misheli katikati akiwa katika moja ya research zake Bahari ya Hindi
Ayubu Misheli wa kwanza kulia, akiwa pamoja na wafanyakazi wake wa kampuni AMISADAGO CONSULTANCY.
Mwisho kabisa Azaniaalumni2000 inamtakia mafanikio tele Ayubu Misheli katika harakati zake za kuendeleza Taifa hili katika Ujasiriamali wa Ufugaji na Uvuvi wa kisasa wa Masaki.Kwa mawasiliano na Ushauri nasaa juu ya taaluma hiyo
simu no 0757-763283 AYUBU MISHELI
email: ayubumisheli@yahoo.com
@copyright by hstmasoud.
0 comments: