simulizi

JE UNAIFAHAMU HIGH TECH SYSTEM LTD & TECHNOTRADE INVESTMENT BY GODFREY GODIAN???

12:13 PM tibazetuasili 0 Comments


HIGH TECH SYSTEMS (T) LTD & TECHNOTRADE INVESTMENT LTD ni Wauzaji na wasambazaji wa vifaa vyote vya kisasa kwa mahitajio ya kampuni yako pamoja na vifaa vyote vya Scientific & Labolatory,Survey kwa bei nafuu sana zyenye warranty.

High Tech System (T) Ltd & Technotrade Investment ni jibu lako sasa.
Kwa Mahitaji ya Robotic Total Station,Dual Keyboard Total Stations,Automatic Level,Staffs,Reflectors and many others including Soil Labolatory Equipments.











Staff Ruler, Reflectors, level stand and many others including Soil Labolatory Equipments.


              -


Note: If you find cheaper price than us will will return the difference.
We also own a Survey Repair Centre & Soil Lab at Mwanamboka Plaza,Kawawa Road,Kinondoni & KKKT Kijitonyama office respectively.We do calibrate and provide calibration certificate of one year.













FOR MORE INFORMATION

CONTACT US

G.R.Ntake 0784226073

Godfrey Mwesigwa ( Godfrey Godian, Double G ) 0716149107

Emails:
hightech087@yahoo.co.UK
high-tech@Raha.com
technotrade2002@yahoo.com
godfreyntake@yahoo.com
Website:hightechtz.com


\

0 comments:

azavid

Ndoa imevunjika waamua kugawana mali nusu kwa nusu

8:55 AM tibazetuasili 0 Comments


Ama kweli kuwa uyaone si maghorofa wala magari, Mzungu mmoja baada ya Mahakama kutoa hukumu ya ndoa yao na kuamuru mali walizochuma pamoja wagawane nusu kwa nusu hivi ndivyo Mjerumani huyo alivyolimaliza


TAZAMA VIDEO HAPA


0 comments:

siasa

TANZANIA YETU

11:50 AM tibazetuasili 0 Comments

                                                                      

0 comments:

Katuni

Cheka na Azapound by Ntimi Omega

10:53 AM tibazetuasili 0 Comments






Mchango vs Kiingilio

Harusi ni tarehe 10//10/20XX. Wewe unachangia mwezi wa sita mwaka huo huo. Huo ni mchango,kwa sababu itasaidia kulipia ukumbi,mc,mapambo,n.k

Ukatoa mchango wako tarehe 5/10/20XX. Hiko ni kiingilio,kinakuwezesha kuhudhuria harusi ambayo ishaandaliwa na michango.

0 comments:

jamii

TAARIFA MAALUM

9:59 AM tibazetuasili 0 Comments


Habari ya muda huu family members,

TANGAZO



Napenda mfahamu kuwa mchakato wa kufungua account ya Azania alumni 2000 unaendelea, japokuwa tumekuwa tukipata ugumu kutokana na kushindwa kupata nafasi ya pamoja ya kufika pale branch kwa sisi watia sahihi, na hii ni kutokana na dharula za kiofisi na majukumu yake.

Lakini mpaka kufikia siku ya ijumaa wiki hii tutakuwa tumemaliza zoezi hilo.

Na pia napenda mfahamu kuwa imetubidi kumuondoa kwa idhini yake mwenyewe, mwenyekiti wa kamati ya uchumi na mipango ndugu Joseph Mwaisemba kwenye nafasi ya watia sahihi wa account kutokana na kuwepo kwake nje ya mkoa wa Dar es salaam kwa shughuli za kikazi, na nafasi hiyo tukamuweka katibu wake ambaye ni Francis Ambali.

Na pia tumepunguza mtia sahihi mmoja kila group (yani group A, na group B) kutokana na mahitaji ya taratibu za benki ya Posta, ya kuhitaji watia sahihi wawili kila kundi, na kufanya idadi ya watia sahihi kuwa ya watu wanne tu, badala ya sita tuliowachagua kwenye mkutano mkuu wa tarehe 31 May.

Hivyo tumebaki na watia sahihi wafuatao.

Group A

1. Mwenyekiti Azania Alumni 2000 ndugu Mwinyi Hassan.

2. Mweka hazina ndugu Ntimi Omega Mwakipake.

Group B

1. Katibu kamati ya Uchumi na Mipango ndugu Francis Ambali.

2. Mjumbe kamati ya Uchumi na Mipango ndugu Issa Massoud.

Ahsanteni sana

Mwinyi Hassan

Mwenyekiti Azania Alumni 2000.

0 comments:

Katuni

JET LEE

10:22 AM tibazetuasili 0 Comments

0 comments:

Katuni

TOM & JERRY

10:16 AM tibazetuasili 0 Comments

0 comments:

Katuni

ZERO BRAIN

10:13 AM tibazetuasili 0 Comments

0 comments:

michezo

JIONEE MAGOLI 30 BORA LIGI KUU ULAYA

9:35 AM tibazetuasili 0 Comments

Mwana Azapound Mpenda michezo pata uhondo wa kuangalia Magoli 30 bora yaliyofunga katika ligi kuu Mbalimbali za Ulaya..



0 comments:

michezo

FERRARI!!!

9:24 AM tibazetuasili 0 Comments

0 comments:

michezo

amaizing

9:15 AM tibazetuasili 0 Comments

0 comments:

michezo

SOCCER BONANZA

9:21 AM tibazetuasili 0 Comments

Kwako Mwana Azapound, Azapound BONANZA ipo mbioni stay tune, Stay in touch lini na wapi jibu
litawajia hapa hapa....................




NJOO TUFURAHI NJOO TUJENGE UMOJA...MICHEZO NI FURAHAAAAA



0 comments:

simulizi

Mwalami Kwengwegu Mwana wa Azapound aliyebobea katika Uzalishaji Tumbaku

12:31 PM tibazetuasili 0 Comments


Jina Mwalami kwengwegu si jina geni miongoni mwa wana wa azaniaalumni2000, elimu yake ya awali aliipata katika shule ya Msingi Mburahati iliyopo wilaya ya Kindondoni. na Mwaka 1997 jina Mwalami Rashid Kwengegu lilikuwa kati ya majina 450 yalioidhinishwa na Baraza la Mitihani kwenda kujiunga na shule ya Secondary Azania. Hapo ndipo safari rasmi kuelekea Mafanikio yake ya Ujasiriamali ya hivi sasa ilipoanza.

kati ya Wanafunzi 40 waliounda darasa la Form I H Mwalami Kwengegu alikuwa ni mmoja wao, wengi waliweza kumtambua kwa haraka kutokana na jina lake Kwengwegu kuonekana kama ni moja ya dawa za asili au mojawapo ya mji mkongwe barani Afrika.aliweza Kuhitimu elimu yake hiyo akiwa darasa la Form IV M na kuwa ni miongoni mwa wana wa azapoound alieacha kumbukumbu tele shuleni hapo.

Kwasasa Mwalami Kwengwengu ni Mjasiriamali aliyejikita zaidi katika uzalishaji wa zao la Tumbaku Mkoani Tabora mwenye ufahamu wa hali ya juu kiuwekezaji katika sekta hiyo nyeti inayolipatia Taifa pato kubwa sana kutokana na malighafi hiyo kuwa chanzo kikuu kinachotegemewa katika utengenezaji wa sigara nchini.

Mwalami Kwengwegu akiwa katika moja ya ukaguzi wa mashamba yake ya tumbaku kwa ukaribu zaidi

Mwalami Rashid Kwengwegu anapenda kuwakaribisha wana wa azanialumni2000 wote kujitokeza kiushauri au kiuwekezaji katika sekta hiyo.

Mwisho
Azaniaalumni2000 inapenda kumtakia Mwalami Kwengwegu kila la kheri  katika Ujasiriamali wake huo.
 Contacts: 0714 306 600

0 comments:

jamii

Taarifa za Harusi

2:34 AM tibazetuasili 0 Comments





Wana Azapound mnataarifiwa ya kwamba wenzetu, Godfrey Mnzava, Ntimi Mwakipake na Adonis Shoo bila kumsahau Ayubu Misheli kwa pamoja wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni katika siku tofauti tofauti hivyo wanaAzpound tunaombwa kuwapa support wenzetu kuelekea katika tukio hilo kubwa. Azaniaalumni2000 imeweka utaratibu wakuawachangia zawadi wenzetu hao kwa kila Member kuchangia Tsh 30,000/-.Pia Mwana Azapound unaombwa kutoa Mchango wako binafsi kulingana na Moyo wako katika hilo.

0 comments:

Uchumi

Uchumi

2:13 AM tibazetuasili 0 Comments


Mwana Azapound kwasasa tupo kwenye mchakato wa kujikwamua kiuchumi kwa kuandaa mchakato wa kuweza kumiliki ardhi na ikiwezekana hatua zingine zaidi zifuate,Tafadhali tunahitaji mshikamnano wako thabiti.


0 comments:

About

Azaniaalumni2000

1:58 AM tibazetuasili 0 Comments

Azaniaalumni2000 ni mjumuiko wa wanafunzi waliosoma Azania secondary school kuanzia mwaka 1997-2000. Mpaka sasa azaniaalumni ina jumla ya wanachama 200 kati ya 500 waliomaliza kipindi hicho hii inatokana na teknolojia inayotumika kuwaunganisha kuwa ni ya kiwango maaalum (Whatsaap), kwasasa azanialumni ina jumla ya viongozi 5 kama ifuatavyo:-

Mwenyekiti- Mwinyi Hassani

M/Msaidizi- Said Mselem

Katibu-Simon Isdory Swai

K/Msaidi-Charles Borniface( Diaz)

Muweka Hazina-Ntimi Mwakipake

Mpaka sasa azaniaalumni2000 ipo katika mchakato wa kupata katiba zake, moja ikiwa ni katiba ya kikundi kwa masuala ya kijamii na ya pili ni Uchumi.

Mwisho.
Kwa Yeyote aliyemaliza azania anakaribishwa sana katika umoja huu wenye nia thabiti kabisa kama tulivyoishi miaka minne ya shuleni huku tukidumisha slogani yetu ya azaniaalumni2000 for life.

0 comments:

Katuni

Four in one

1:52 AM tibazetuasili 0 Comments


0 comments:

members

MEMBERS

1:34 AM tibazetuasili 1 Comments



1.  MWINYI HASSANI-MWENYEKITI
2.  SIMON SWAI-KATIBU
3.  SAID MSELEM-M/MSAIDIZI
4.  BORNIFACE CHAMADALI (DIAZ)-K/MSAIDIZI
5.  NTIMI MWAKIPAKE-MUWEKA HAZINA
6.  ABDI MSANGI
7.  ADOLF NDEGE
8.  ADONIS SHOO
9.  ADOPH GERLAD
10. ALIKO WESTON
11. ALLY LOTA
12. AYUBU MISHELI
13. BAKAR LARRY
14. BAKAR MBAGA
15. BENNEDICT AMANDUS
16. CHARLES MROSSO 
17. DEODATUS KATUNDABWILE
18. EDGAR MASATU
19. FIDELIS BUGOYE
20. FRANCIS AMBALI
21. FRANCIS MKUMBUKWA
22. GODFREY GODIAN
23. GODFREY LUTARE
24. GODFREY J MUTAFUNGWA
25. GODFREY MBENA
26. GODFREY MNZAVA
27. GODFREY VALERIAN
28. HATIBU KACHENJE
29. HENRY MWAKASUNGURA
30. HENRY SINDI
31. HUSSEIN MIRAMBO
32. IBRAHIM JUMA
33. ISSA MASOUD
34. JACKSON KIVE
35. JOACHIM MANGIMELI
36. JOSEPH MWAISEMBA
37. JOSHUA CHARLES
38. JOSEPHAT MUSHI
39. JUMA MKUU
40. JUMANNE JUMA
41. JUMANNE RASHID
42. KURT AFRED
43. KYARUZI LEONARD
44. LOUIS KATO
45. LAWRENCE DAVIE
46. MARTIN SITTA
47. MARTIN MALIMA
48. MASOUD SHUKURU
49. MAXIMILLIAN MMARI
50. MICHAEL MANENTO
51. MOHAMED HABIBU
52. MWALAMI KWENGWEGU
53. MWALAMI SHAHA
54. NUHU MAGWAI
55. NEWTON MASUNZU
56. NYAKIA ALLY
57. OMARY BAKAR
58. OMARY MWALIKO
59. OMARY SAID ( OMMY PENGO)
60. ONESMO
61. PETER DANIEL
62. PETER G
63. PETER MALAGA
64. RANGE NYAMHANGA
65. RAMADHAN IDD
66. SAID KHAMIS
67. SAID MUHAMAD
68. SOUD PONGWE
69. SALES EZRA
70. SHOLLA MANONI
71. TWAHIR ABBAS
72. YAHYA KUJELLA
73. DENIS NGIDO
74. VICTOR MKAMA
75. MAN COSTA
76. CHACHA WAMBURA
77. NASIBU KANNOLE

1 comments:

Wayback

Mtambue Mmoja wapo

9:05 AM tibazetuasili 0 Comments

wana azapound katika moja ya harakati zao

Tambua azapound hawa kwa kutupia comment yako chini hapo

0 comments:

Katuni

cheka kwa step

9:04 AM tibazetuasili 0 Comments




0 comments:

Katuni

TZ yetu katuni Zaidi

8:53 AM tibazetuasili 0 Comments



0 comments:

Wayback

AZAPOUND WAYBACK

8:47 AM tibazetuasili 0 Comments



Wa Kwanza kulia ni Dr. Mbone Mlango kwasasa ni muhadhili chuo kuu cha dar es salaam kitengo
 cha Mechanical akiwa pamoja  na  Mwalami Kwengwegu ,Semeni Mpongo back bencha Dr. Abdi Msangi, Aquatics Muhaji Chande na  Mwl Diaz Batholomeo.


Picha baadhi ya Azapound wakiwa hostel enzi hizo.

















0 comments:

simulizi

Azapound Pamoja

8:43 AM tibazetuasili 0 Comments




Kutoka kushoto Kassim Mngodo akiwa na Wana azapound wengine walipokutana moja ya kiwanja jijini Mwanza

0 comments: