jamii
TANZIA
Familia ya Azaniaalumni2000
imepata pigo kubwa sana kwa kuondokewa na mwanafamilia wake ELIA FUNGO alie fariki alfajiri
ya leo tarehe 22/08/16 katika hospitali ya muhimbili aliko kuwa amelazwa baada ya kupata ajali
ya gari tarehe 19/08/2016. Bwana
Ametoa na bwana ametwaa jina lake lihidimiwe. Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwao Kimara alipokuwa akiishi.
Marehemu
Bwana Elia Fungo enzi za uhai wake.
0 comments: