About

Azaniaalumni2000

1:58 AM tibazetuasili 0 Comments

Azaniaalumni2000 ni mjumuiko wa wanafunzi waliosoma Azania secondary school kuanzia mwaka 1997-2000. Mpaka sasa azaniaalumni ina jumla ya wanachama 200 kati ya 500 waliomaliza kipindi hicho hii inatokana na teknolojia inayotumika kuwaunganisha kuwa ni ya kiwango maaalum (Whatsaap), kwasasa azanialumni ina jumla ya viongozi 5 kama ifuatavyo:-

Mwenyekiti- Mwinyi Hassani

M/Msaidizi- Said Mselem

Katibu-Simon Isdory Swai

K/Msaidi-Charles Borniface( Diaz)

Muweka Hazina-Ntimi Mwakipake

Mpaka sasa azaniaalumni2000 ipo katika mchakato wa kupata katiba zake, moja ikiwa ni katiba ya kikundi kwa masuala ya kijamii na ya pili ni Uchumi.

Mwisho.
Kwa Yeyote aliyemaliza azania anakaribishwa sana katika umoja huu wenye nia thabiti kabisa kama tulivyoishi miaka minne ya shuleni huku tukidumisha slogani yetu ya azaniaalumni2000 for life.

You Might Also Like

0 comments: