simulizi

AZANIA YETU KATIKA PICHA

6:01 AM tibazetuasili 1 Comments



Ama kwa hakika picha uwakilisha  kumbukumbu zote za nyakati zilizopita ziwe za Majonzi, Furaha au Huzuni,hili linajidhihilisha pindi uangaliapo picha zako au picha za eneo ulilokuwepo zama hizo,Azania yetu ndio neno ninaloweza kulitumia kuwakilisha hisia zote za miaka 4 tuliyoitumia katika shule hiyo,ufuatao ni mtiririko wa picha mbalimbali zikionyesha mazingira tofauti ya shule ya Azania na pindi uziangaliapo kwa hakika mambo mengi yatakujia katika kumbukumbu zako.


Mlango wa kuingila ukumbi wa Mikutano



Mkondo wa Kwanza wa Madarasa ya Form I and II

Mkondo wa Madarasa ya Fine Art,French,Libray,computer Room pamoja na Ukumbi wa Mikutano

Sehemu ya Kuwekea Matangazo "Notes Board"

Sehemu ya Makazi ya Wanafunzi "Hostel"



sehemu ya Kuhifadhia matranka ya wanafunzi wa hostel





Uwanja wa Mpira

Nyumba itumikayo kwa makazi ya Mwalimu Mkuu wa Shule

You Might Also Like

1 comment: