Wayback

HUKU NDIPO TULIPOTOKA..

11:32 AM tibazetuasili 0 Comments



Ama kwa hakika tulipotoka ni mbali na tunapokwenda naweza sema ni karibu, usemi huu unaenda sambamba na picha ya juu na chini ambazo zinawaonyesha baadhi ya Azapound enzi hizo.Kama zama zingekuwa zinaweza kujirudia wengi wao tungetamani iwe hivyo,Tafadhali tusaidaine kutaja wahusika waliopo katika picha hizi kwa comment hapo chini.


You Might Also Like

0 comments: