jamii

R.I.P AZIZ PONERA

11:36 PM tibazetuasili 0 Comments

Marehemu Aziz Ponera Enzi za uhai wake

Kwa Masikitiko makubwa wana azaniaalumni2000 wamepata pigo kubwa kwa kuondokewa na mwenzao pichani juu AZIZI PONERA, kifo chake kimetokea nyumbani kwake alipokuwa akiishi kwa ajali ya moto jana usiku Aziz alibahatika kusoma form I C na IV C ,Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali pema.Amina

By Mwenyekiti- Mwinyi Hassan@azaniaalumni2000

You Might Also Like

0 comments: