jamii
RIP SALUM KALEMBUKA
Marehemu Salum Kalembuka enzi za uhai wake
Aliyekuwa mwana Azapound mwenzetu kijana mcheshi mwenye matani kila umuonapo Salum Kalembuka amefariki dunia kwa ajali ya gari jijini Mwanza Habari za kifo chake zimepatikana kupitia mwana azpound mwenzetu na rafiki yake wa karibu ndugu Hilorism Mayombo jioni ya leo tar 10 Aug 15 ama kwa hakika ni habari ya kusikitisha kwa ndugu jamaa na Azapound kiujumla,Mungu ametoa na mungu ametwaa,Mungu aipokee roho ya mwana azapound mwenzetu na aiwekee mahali pema.Amina
Moja ya picha ikimuonyesha Marehemu Salum enzi za uhai wake
0 comments: