AZANIAALUMNI2000

12:44 AM tibazetuasili 0 Comments

Azaniaalumni2000 ni muungano wa wanafunzi waliosoma Azania Secondary School kuanzia mwaka 1997-2000 waliokubaliana kwa pamoja kushirikiana katika mambo mbalimbali kikatiba,mapaka sasa Azaniaalumni ina jumla ya Wajumbe wasiopungua 100 na viongozi 5 Malengo Makuu ya Jumuiya hii ni kuwaweka pamoja Vijana wote waliobahatika kusoma 1997-2000 katika shule Azania ili kusaidiana KIUCHUMI NA KIJAMII.

VIONGOZI
Wafuatao ni viongozi wampito waliochaguliwa na wahjumbe kuingoza Azaniaalumni2000 mpaka pale Katiba mama ya Jumuiya hiyo itakapo kamilika na kufanya Uchaguzi kulingana na Katiba inatakavyosema.


1. Mwenyekiti- Mwinyi Hassani

2. M/Kiti Msaidizi- Said Mselem

3. Katibu- Simon Isidory Swai

4. K/Msaidizi- Charles Boniface

5. Muweka Hazina-Ntimi Mwakipake

KAMATI
Azaniaalumni ina jumla ya kamati kuu mbili kamati ya Uchumi na Kijamii.


MALENGO
Malengo ni kuufanya Umoja huu kuwa na Mashikamano uliothabiti ili kujikwamua katika hali zote na kuwakutanisha vijana wote wa mwaka 1997-2000 waliosoma Azania Secondary school.
AZANIAALUMNI2000 FOR LIFE….

You Might Also Like

0 comments: