jamii

TANZIA

11:06 AM tibazetuasili 0 Comments


Kwa Masikitiko Makubwa Uongozi wa Azaniaalumni2000 unatangaza Kifo  cha Baba Mzazi wa Muweka Hazina wa Azaniaalumni2000 Ndugu Ntimi Mwakipake, Mzee Mwakipake kilichotokea leo Usiku tarehe 17 Jul 15 katika hospitali ya Muhimbili alipolazwa kwa ajili ya matibabu ya dharura,Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihidimie,Azaniaalumni2000 inawatakia familia nzima subira katika kipindi kigumu sana kwao.
Taarifa zaidi zitawajia hapa hapa.




Taarifa by Ntimi Mwakipake.

You Might Also Like

0 comments: