jamii

AZAPOUND IFTAR TOGETHER

12:11 AM tibazetuasili 1 Comments


Kwa Heshima na tahadhima Uongozi wa Azaniaalumni2000 unawatangazia wajumbe wote kushiriki futuru ya pamoja kwa wale waliobahatika kufunga na wasiofunga ili kudumisha Brotherhood, Mahali na muda ni tarehe 12/07/15, Ilala kwa Ndugu Mwenyekiti wa Azanaalumni2000,wasilisha jina kwa Mwenyekiti ili kuthibitisha ushiriki wako, Kufika kwako ndio mafanikio ya shughuli hiyo.

Ahsante,By Mwenyekiti@Azaniaalumni2000

You Might Also Like

1 comment: