KILA LA KHERI NTIMI OMEGA

1:43 AM tibazetuasili 0 Comments


Chama cha Makapela leo kitapata pigo lingine kwa kuondokewa na mwanachama wao Ntimi Omega Mwakipake anayetarajiwa kufunga ndoa katika Hotel ya Double Tree, ama kwa hakika chama kinatetereka.Wana wa Azapound wote mliopata mualiko wa kuhudhulia harusi hiyo mnaombwa kuhudhulia bila kukosa ikiwa ni muendelezo wa UBrotherhood uliyojengeka ndani ya azaniaalumni2000. Azaniaaalumni2000 inamtakia kila la kheri Bwana harusi Ntimi Omega ili Mungu afanikishe tukio hilo muhimu maishani.




Bwana na Bibi Harusi watarajiwa walipokuwa katika sherehe ya send off


WISHING YOU ALL THE BEST.........................



                                                       





You Might Also Like

0 comments: