jamii
Pumzika kwa Amani Mzee wetu
Mazishi ya Baba Mzazi wa Mwana azapound Ntimi Omega Mwakipake yamefanyika leo katika makaburi ya kinondoni,wengi wa azaniaalumni2000 members walijitokeza katika mazishi ya kumpuzisha mzee wetu katika nyumba yake ya milele, Familia inatoa shukrani kwa wale wote walioshiriki katika mazishi kwa namna moja au ingine.Azapound members mliojitokeza mnaombwa kudumisha moyo huohuo na kwa wale waliokosa muda kwa namna moja au ingine nao wanaombwa kudumisha umoja ulionyeshwa katika siku za hivi karibuni.Rest In peace Mzee Wetu
Members wa Azaniaalumi2000 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mazishi kumalizika, hakika ni faraja kubwa sana
0 comments: