jamii
PUMZIKA KWA AMANI BINTI YETU SHARONE CHARLES
Safari ya Kumpumzisha Binti yetu mpendwa Sharone Charles mtoto wa Mwana Azapound Mwenzetu Charles Mroso katika safari yake ya milele imekamilika jana Mkoani Rombo ama kwa hakika ni huzuni mkubwa sana.
Mungu amlaze mahala pema peponi kipenzi chetu Sharone, she's gone so soon!!!! Sie tulimpenda ila Mungu amempenda zaidi.
Mungu ampe subira mwana azapound Charles Mroso katika kipindi hiki kigumu kwake,azaniaalumni2000 inatoa pole sana kwake na kumuombea utulivu ili arudi katika hali yeke ya awali.
Charles Mroso akiweka udongo wa heshima kwa Binti yake Sharone its so sad
0 comments: