jamii
AZAPOUND FOREVER!!!!!!!!
Ama kwa hakika umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, Umoja wa Azapound ama kwa jina lingine Azaniaalumni2000 unaendelea kutimiza adhima yake ya kikatiba kwa vitendo.Manufaa ya umoja huo hayawezi kujificha ata siku moja toka umoja huo uanzishwe wengi wamenufaika nao, leo katika kuthibitisha hilo mmoja wa mwanachama wetu anadhihilisha hilo kutoka moyoni kabisa kama ifuatavyo.
Hapa namnukuu
"Last week gari langu liliaribika Stearing wreck, nikaenda dukani wakaniambia second hand yake ni milioni mbili (usitake kujua bei ya mpya), nikatangaza hapa group mheshimiwa Adolf akajitokeza na kunisaidia kwa milioni moja na nusu, akanipa hicho Kifaa nikafunga kwenye gari langu kwa maelewano ya kwamba nitampa pesa baadaye. Leo hii ndio nimetoa hiyo pesa. Vitu vya kujifunza.
1. Nime-save shilingi laki 5
2. Nimepewa huduma bila ya kuwa na fedha mkononi.
3. Nimelipa pale hali yangu ilipo ruhusu.
4. Nimefanya biashara na mshikaji wangu (win-win situation ) Hizo ni faida chache tu za umoja huu".
Mwisho kabisa mwana azania alumni huyo anauliza
# Mimi nimeanza kunufaika;Je wewe?
swali ambalo linaashiria umoja huu ni wenye faidha kubwa.....
0 comments: