Katuni
MWANA AZAPOUND JE MWANAO NI MPENZI WA CARTOON?...HILI NDIO JIBU
Cartoon kwa watoto ndio kitu pekee wakipendacho, wazazi wengi hutumia muda wao kuwaridhisha watoto wao kwa kuwapa fursa na wao kuangalia TV ukizingatia vipindi vingi kwao vinakuwa na makatazo au maudhui ya kiumri, suluhisho pekee la mtoto nayeye kuinjoi TV ni kuangalia CARTOOONS.
JE UNAJUA CARTOONS zinatengenezwaje? leo nimekuletea mchoraji mahili wa kampuni maarufu ya utengenezaji wa filamu kwa watoto DISNEY FILM ameeleza kinaga ubaga ni jinsi gani utengeneza wa filamu hizo za watoto unavyokuwa , ama kwa hakika unastajabisha kama si kushangaza au kusikitisha hii ndio dunia ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauuni.
Its Masoud Shakur..........
0 comments: