jamii

TAARIFA YA MAZISHI

7:26 AM tibazetuasili 0 Comments


Wanaazaniaalumni2000 wote mnatangaziwa ya kwamba, Mazishi ya Mzee wetu,Mzee Mwakipake yatafanyika katika makaburi ya kinondoni siku ya Jumatatu kufika kwako katika mazishi ndio kufanikisha kumpumzisha Mzee wetu kwa amani, pia azaniaalumni2000 imechukua jukumu la kuwasilisha sanduku kama njia mojawapo ya kushiriki msiba na kumuwenzi mwanaazania alumni mwenzetu.Kwasasa Msiba upo nyumbani kwa marehemu Osterbay mtaa wa Bongoyo,Tufike ili kumpa faraja mwenzetu.


You Might Also Like

0 comments: