jamii
MUNGU AKUPE SUBIRA CHARLES MROSO
Ama kwa Hakika ni uchungu usio simulika pale unapoondokewa na mtu wa karibu yako hasa yule wa damu yako, Mwenyezi mungu ampe subira mwana Azapound mwenzetu CHARLES MROSO kwa kuondokewa na mwanae kipenzi pichani.
Msiba upo Tabata Segerea, mazishi yanatarajiwa kufanyika Mkoani Moshi na taratibu za kusafirisha mwili wa binti yetu kipenzi zinatarajiwa kufanyika kesho tarehe 20/Aug/15 kuanzia saa nne asubuhi.
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa jina lake lihidimie.
0 comments: