AHAA RONALDO HII SASA SIFA

12:33 PM tibazetuasili 0 Comments

Ligi ya Hispania iliendelea leo Jumamosi baada ya kuzikutanisha timu kadhaa zinazoshiriki ligi hiyo, ilikuwa ni mechi ya Real Madrid na Espanyol ilivutia masikio ya mashabiki wengi wasoka baada ya mshambuali nguli wa timu ya Real Madrid Kufunga magoli 5 katika mchezo huo
Ilimchukua dakika ya 7 CR kuandika bao la kwanza na baadae kuongeza mengine mawili katika dakika ya 17 na 20, Karim Benzema aliindikia RM bao la 4 katika dakika ya 28 kabla ya CR kuhitimisha kalamu ya magoli dakika ya 61 na 81, mpaka mwisho wa mchezo RM 6 Espanyol 0


Kwa Magoli hayo C. Ronaldo kwasasa anashikilia rekodi ya kuwa mfungaji bora wa wakati wote wa Timu yake ya Real Madrid  toka ligi hiyo ianzishwe.


You Might Also Like

0 comments: