jamii

TANGAZO KWAKO MWANA AZANIA ALUMNI 2000

12:06 PM tibazetuasili 0 Comments




Katibu wa Azaniaalumni2000 anapenda kuwataarifu kuwa siku ya jumapili ya tarehe 13 September kutakuwa na mkutano mkuu wa Azania Alumni 2000 utakaofanyika katika hotel ya Don Suite Ilala Dar es salaam.

Mwana Aazpound unaombwa kutoa Sh 15,000/- ilikuthibitisha ushiriki wako ikiwa ni kusaidia kulipia ukumbi, Manywaji na chakula siku hiyo ya mkutano.

AGENDA: Kukabidhi rasmi rasimu ya katiba ya Azania Alumni 2000 kwa wajumbe wote. 

Muda: Saa nne Asubuhi mpaka saa moja usiku (10:00 am- 07:00 pm

Mahala: ilala Don Suite hotel. Hivyo mnaombwa wote msiotuma E-mail addresses zenu, mtume ili muweze kuipitia rasimu ya katiba kabla ya kikao. Ahsante sana, 

You Might Also Like

0 comments: