Uchumi
SAA 5:00 MPAKA SAA 6:00 MCHANA.
Usomwaji wa taarifa ya manunuzi ya shamba la Fukayosi, na taarifa ya hali ya fedha katika account ya TPB. Pamoja na uwezekano wa kununua shamba jingine.
SAA 6 MPAKA SAA 7 MCHANA:
Majadiliano/Hatua za kufanya juu ya uanzishwaji wa Saccoss.
SAA 7 MPAKA SAA 7.45 CHAKULA CHA MCHANA.
SAA 7:45 MPAKA SAA 8:45. MCHANA.
Uanzishwaji wa kampuni/ Uteuzi wa Board of Directors/ Mchanganuo wa ununuzi na umiliki wa share katika kampuni.
SAA 8:45 MPAKA SAA 9:00 ALASIRI MENGINEYO.
SAA 9:00 KUFUNGA MKUTANO.
BY DOLF GERLAD
RATIBA KAMILI YA MKUTANO MKUU WA UCHUMI JUMAMOSI DON SUITE
RATIBA YA MKUTANO MKUU WA UWEKEZAJI. 9/01/2016 UTAKAO FANYIKA KTK UKUMBI WA DON SUITE HOTEL
SAA 5:00 MPAKA SAA 6:00 MCHANA.
Usomwaji wa taarifa ya manunuzi ya shamba la Fukayosi, na taarifa ya hali ya fedha katika account ya TPB. Pamoja na uwezekano wa kununua shamba jingine.
SAA 6 MPAKA SAA 7 MCHANA:
Majadiliano/Hatua za kufanya juu ya uanzishwaji wa Saccoss.
SAA 7 MPAKA SAA 7.45 CHAKULA CHA MCHANA.
SAA 7:45 MPAKA SAA 8:45. MCHANA.
Uanzishwaji wa kampuni/ Uteuzi wa Board of Directors/ Mchanganuo wa ununuzi na umiliki wa share katika kampuni.
SAA 8:45 MPAKA SAA 9:00 ALASIRI MENGINEYO.
SAA 9:00 KUFUNGA MKUTANO.
BY DOLF GERLAD
Safi sana Blogger Masoud
ReplyDelete